Superwoman Lyrics by Tanzania All Stars

Superwoman Lyrics

(Ayolizer)

I’m a superwoman, I’m a superwoman

Hee, superwoman(Super), superwoman(Super)

Superwoman

I’m a superwoman, I’m a superwoman

Hee, superwoman(Super), superwoman(Super)

Superwoman

Mwanamke ni mama, mmmh

Mwalimu wa kwanza duniani

Tumboni alitubeba akatulea

Akatufundisha

Zile zamu za mwanamke hawezi, hapana

Siku hizi hakuna

Tunashiriki vyema wa nchi ujenzi

Na tena tunajituma

Hey hata kulima(Tunaweza)

Oooh kushona(Tunaweza)

Rubani unahodha(Tunaweza)

Nchi kuongoza(Tunaweza)

Udaktari baba, uaskari dada(Tunaweza)

And everybody say

I’m a superwoman, I’m a superwoman

Hee, superwoman(Super), superwoman(Super)

Superwoman

Ujasiri silaha yetu

Kujituma ndio sana

Umoja ndio nguvu yetu

Na kushikamana

Jitokeze kugombea nafasi mali mali

Pingamizi hakuna inahitaji utayari

Wewe unaweza, mimi nimeweza

Kwani wewe ushindwe una nini?

Na mimi niweze nina nini?

Mwanamke ngangari

Mwanamke hodari

Anayejiamini baba alete chumvi

Yeye alete sukari

Mwanamke sio tu vipodozi

Na vipicha vya kichokozi

Siku hizi mwanaume anapenda

Mwanamke ajitume na achape kazi

Na sasa kunavyo vikundi vya kusaidiana

Na vikoba vyetu ushindi tunakopeshana

Mkubwa kwenye uongozi tumepata mtetezi

Mama Samia hoyee

Wanawake uvuvi(Tunaweza)

Ualimu(Tunaweza)

Urubani, unahodha(Tunaweza)

Nchi kuongoza(Tunaweza)

Udaktari baba, uasikari mama yeah

I’m a super woman

I’m a superwoman, I’m a superwoman

Hee, superwoman(Super), superwoman(Super)

Superwoman

(It’s Rosa Ree)

Yeah am a fine ting, yes am so exciting

Hustle for my own to keep up fighting

You know I can be queen and also be king

Superwoman give me the championship ring

Nilianza changa changa

Kamtaji kangu chakanga(Nga nga)

Biashara ya deni ikanipatia kiwanja

Sasa nina Shishi food(Ehee)

Kifupi life is good(Ehee)

Na nina Mbezi kibanda

Haya kina dada wote msilale(Msilale)

Tena msilale(Msilale)

Msilale(Msilale)

Haya msilale(Msilale)

Heee…amkeni muda sasa

Oooh

Jokate Mwegelo(Superwoman)

Asha-Rose Migiro(Superwoman)

Mama Dangote(Superwoman)

Mama Rakatale(Superwoman)

Mama Nyerere(Superwoman)

Ntulia Atso(Superwoman)

Mama Janet Magufuli(Superwoman)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *